TEHRAN (IQNA)-Rais wa Zanzibar amezitaja shughuli za kielimu na kimaarifa zinazofanywa na tawi la Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa kuwa ni muhimu na kutangaza kuunga chuo hicho katika shughuli zake eneo la Zanzibar nchini Tanzania.
Habari ID: 3474976 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/26